KIWANJA KINAUZWA MAENEO YA KAI HOTEL
kiwanja kinauzwa maeneo ya barabara kuu ya kwenda singida
pale KAI HOTEL kwa pembeni.kiwanja kina block mbili zilizo ungana
kila block ina ukubwa wa 35 kwa 50 ,block zote zipo barabarni
block ya kwanza inaangalia barabara kuu ya kwenda singida ,
block na mbili inaangalia barabara ya mtaa wa pili
sifa za hizi block ni kwamba kila block ina nyumba ,ndogo
block ya kwanza ina nyumba ya room moja na sebule na inampangaji ,
block ya pili ina room moja lakini haijapauliwa imejengwa mpaka lenta,
hiv viwanja block A na B ni vizuri kujenga hotel ,,Ama kujenga
nyumba ya kupangisha au kujenga nyumba za kuishi ,
ukumbi wa kukodisha ,
angalia majirani walio zunguka hicho kiwanja hapo kwenye
hizo picha zinazofuata hapo chini ,pande zote
kulia na kushoto pia mbele na huku nyuma ya kiwanja,
bei hiki kiwanja ni pamoja na nyumba zake ni tsh,45M,ilion
kwa mawsiliano zaidi piga hizi no
0784777708
0767525214
0787121517
No comments: